Monday, February 1, 2016

KARIBU NA INAWEZEKANA

Heavenly vocal and music school
Tupo kimara bucha
Dar es salaam
Courses tunazotoa ni
-Piano/ Keyboard
-Drums
-Vocal/kutrain waimbaji sauti na
-Guitar
-kids lessons
-Sound engineering
-music production
-dj mixing
Tunafundisha course hizo ndani ya miezi mitatu mtu anakuwa ameiva kwaajili ya kuperform popote
-Vyeti vinatolewa
-Ada ni nafuu tunayo offer maalumu
-Form za kujiunga zinapatikana shuleni kwa 15,000 tuu
-Mafunzo yanafanyika kwa intake tofautitofauti waweza wasiliana nasi kufahamu awamu inayofata ni lini
-tunashift ya asubuhi,mchana, na jioni pia
asubuhi ni kuanzia saa tatu asubuhi najioni ni hadi saa moja
- Jumatatu mpaka ijumaa
-muda wa kukaa darasani unategemeana na course unayochukua
- Tunayo course maalumu kwa watoto course hii mzazi atachagua kumleta siku za kazi au weekend session ambapo itakuwa ni jumamosi tuu asubuhi.
Tunayoexperience ya kutosha kufundisha watoto na tumeona wakifanya vizuri maana ndio umri wa kukamata mafundisho kwa haraka sana.
-Walimu wapo wakutosha
-Tunafundisha vikundi mbalimbali vya uimbaji kama kwaya na bendi kwa muda mfupi wa week moja watakuwa vizuri katika uimbaji wao watanolewa sauti zao, watawekewa nyimbo zao ziwe katika ubora wa sasa na miziki yao na kupata ushauri wa kiufundi zaidi. Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi
0716985625
hvms2013@gmail.com
Au facebook search heavenly vocal music school reception
Instagram search heavenly vocal music school

hvms2013. Powered by Blogger.

SOCIALIZE WITH HVMS

  • Total Pageviews

    ON TWITTER